Magic Soldier a.k.a Kingorongoro ni rapa mkali Burundi, baada ya kuwa na hit mbali mbali nchini na kuaminika nje ya nchi, management yake mpya
Month: June 2018
New Audio | Natacha ft Fally Ipupa – Duga | Download Mp3
Nyota wa muziki wa Buja Fleva, Natacha a.k.a La Namba-La Bamba-Natacha Nomaa, ameachia wimbo wake mpya uitwao BUDA akimshirikisha msanii nyota wa DR Congo, Fally Ipupa,
New Audio | Yoyo Classic – Tunza Siri | Download Mp3
Msanii wa muziki wa Buja , Yoyo Classic ameachia wimbo wake mpya uitwao Tunza Siri, chini ya mikono ya Producer John B. Kuwa wa kwanza kusikiliza
New Video |Natacha Ft Fally Ipupa – Duga(Official Video 2018) | Download Mp4
Nyota wa muziki wa kike wa Buja Fleva kutoka Burundi, Natacha maarufu kama La Namba La Bamba Natacha Nomaa, ameachia video ya wimbo wake
New Video | Bubus ft Nyamwezi – I love the way… (Official music video) | Download Mp4
Msanii wa muziki wa Buja Fleva, Bubus ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao I LOVE THE WAY akishirikiana na NYAMWEZI. Kuwa wa kwanza
New Audio | Don Chilo – Bana | Download Mp3
Msanii wa muziki wa Buja Fleva ameachia wimbo wake mpya uitwao BANA. Kuwa wa kwanza kusikiliza na u download kazi nzuri ya Don Chilo
New Video | Mr champagne – Operation 10 sur 10 ( Official video ) | Download Mp4
Msanii wa muziki wa Buja Fleva, Mr Champagne ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao OPERATION 10 SUR 10, wimbo ilitengenezwa na Pitchen Revolution
SPORT | Kocha wa zamani wa OC Muungano asaini mkataba na Inter Star FC ya Burundi.
Inter Star imekuwa bila kocha mkuu tangu kumalizika kwa Ligi Kuu mwezi uliyopita baada ya kushindwa kufanya vizuri daraja la kwanza kwasasa ilishuka daraja
Sport| El Hadary aweka rikodi katika Kombe La Dunia
Tayari imeondolewa bada ya kushindwa michezo mbili dhidi ya Uruguay (1-0) na Urusi (3-1), Misri ilicheza Jumatatu mechi yake ya mwisho ya Kombe la
Sport | Ligi Kuu Primus Ligue Burundi kuanza Agosti 18
Ligi ya Primus Ligue Burundi msimu wa 2018-2019 itaanza kutimua vumbi Agosti 18 mwaka huu. Timu zote zitacheza mchezo wa ufunguzi wa msimu mpya