NGM257

About us

Spread the love

NEW GENERATION MEDIA257 (NGM257)

Ni muungano wa watangajazi kutoka vituo tofauti Nchini Burundi wanaoendesha vipindi mbalimbali vya Michezo,Burudani, Biashara na Utamaduni.

Malengo ya NGM257

Malengo ya muungano huo ni:

  • kuendeleza vijana na kujenga Taifa letu kupitia vipaji vyao.
  • Kusaidia kutangaza na kukuza muziki wa wasanii wa Burundi.
  • Kuelimisha, kuburudisha na kuhamasisha jamii kuhusu utamaduni.
  • Kutengeneza ajira kwa vijana wenye vipaji wasitegemee serikali kwa kila kitu wakati wana uwezo wa kufanya mambo makubwa kupitia vipaji vyao.
  • Kuandaa njia za kutengeneza maisha ya kujitegemea kupitia kipaji.

Tangaza na sisi

Tunatangaza (advertise) pia mambo mbalimbali kama: biashara, bidhaa, matangazo ya kampuni kupitia tovuti yetu (WEBSITE) http: http://ngm257.com/

Wasiliana na si kwa swali au mchango wowote kwenda nambari za simu:

+257 69 45 07 78 (Whats’App pia)

+257 75 49 72 58 (Whats’App pia)

E-mail: info@ngm257.com

-marketing@ngm257.com

TEAM YOTE YA WANA NGM257 (MEMBERS)

 

 

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com