NGM257

CAN 2019 : DR Congo na Zimbabwe bado wasiwasi kufuzu

Spread the love

Wiki ya 5 ya michezo ya kuwania kupata tiketi ya kushiriki Kombe la Afrika huko Cameroon 2019, ilichezwa wiki hii, bado kazi ingali kubwa katika kundi G kwa timu 4 bado zipo na nafasi ya kupata tiketi kwa mchezo wao wa mwisho.

Hali inawezekana hasa kwa matokeo mbaya ya Zimbabwe. Wakati Zimbabwe ilikua nafasi ya kuthibitisha kupata tiketi yao katika mchezo wa leo lakini walipoteza 1-0 nchini Liberia kupitia mchezaji  Jebor dakika la 72. kwa hiyo timu itakayo pata nafsi ya kufanya vizuri mchezo wa mwisho katika kundi hiyi itakuwa na bahati ya kushririki kombe la Afrika kati ya DR Congo dhidi ya Liberia na Zimbabwe dhidi ya Congo.

mechi ya DR Congo na Kongo Braza ilisimamishwa kwa muda wa saa moja kwa sababu ya mvua kubwa, huku bao la DR Congo ilifungwa na Kabongo dakika la 25 lakini Bifouma alijibu katika dakika la 38 kabla ya mechi hiyo kusimamishwa kwa muda.

Msimamo wa Kundi G: Zimbabwe 8 pts, Liberia 7 pts, DRC 6 pts, Congo 5 pts.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com