NGM257

CAN 2019 : Matokeo kamili na nchi 13 tayari kufuzu

Spread the love

Michezo ya kuwanishia tiketi ya kushiriki Kombe la Afrika huko Cameroon 2019 ilifanyika mwishoni mwa wiki, kwasasa tunafahamu nchi 13 kwa 24 tayari zimefuzu mashindano hayo.

Jumamosi,  Morocco, Nigeria, Uganda na Mali  walithibitisha tiketi zao kabla ya Guinea, Algeria, Mauritania na Ivory Coast kujiunga nao siku ya Jumapili. Mwezi uliopita, Madagascar, Tunisia, Misri na Senegal ndio nchi pekee zilizofuzu mapema  bila kusahau wenyeji Cameroon.

Nafasi 11 ilibaki itahamika wiki ya mwisho mwezi machi.

Matokeo kamili ya wiki ya tano :

Madagaska 1-3 Sudan (kundi A)
Guinea ya Equatorial 0-1 Senegal (kundi A)

Morocco 2-0 Cameroon (kundi B)
Comoros 2-1 Malawi (kundi B)

Gabon 0-1 Mali (kundi C)
Sudan Kusini 2-5 Burundi (kundi C)

Gambia 3-1 Benin (kundi D)
Togo 1-4 Algeria (kundi D)

Seychelles 1-8 Libya (kundi E)
Afrika Kusini 1-1 Nigeria (kundi E)

Ethiopia 0-2 Ghana (kundi F)
Haikuchezwa: Kenya-Sierra Leone (kundi F)

Congo 1-1 DR Congo (kundi G)
Liberia 1-0 Zimbabwe (kundi G)

Guinea 1-1 Yvory Coast (kundi H)
Rwanda 2-2 Jamhuri ya Afrika ya Kati (kundi H)

Mauritania 2-1 Botswana (kundi I)
Angola 2-1 Burkina Faso (kundi I)

Eswatini 1-2 Niger (kundi J)
Misri 3-2 Tunisia (kundi J)

Msumbiji 1-0 Zambia (kundi K)
Namibia 0-0 Gine Bissau (kundi K)

Lesotho 1-0 Tanzania (kundi L)
Uganda 1-0 Cape Verde (kundi L)

– Waliofuzu: Algeria, Cameroon (wenyeji), Ivory Coast, Misri, Guinea, Madagascar, Mali, Mauritania, Morocco, Nigeria, Uganda, Senegal na Tunisia.

– Ziko mbioni kufuzu: Gabon, Burundi, Benin, Togo, Gambia, Afrika Kusini, Libya, Kenya, Ghana, Ethiopia, Sierra Leone, Zimbabwe, Liberia, DRC, Kongo, Angola, Burkina Faso, Guinea Bissau, Namibia, Msumbiji, Lesotho, Tanzania, Cape Verde.

– Zilizoondolewa : Equatorial Guinea, Sudan, Comoro, Malawi, Sudan Kusini, Shelisheli, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Rwanda, Botswana, Niger, Eswatini (Swaziland ), Zambia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com