NGM257

CAN 2019 : Mauritania yashiriki CAN kwa mara yake ya Kwanza

Spread the love

Timu ya taifa ya Mauritania yaweka historia yake ya kipekee Jumapili Novemba, 18 mwaka 2018 kwa  kupata tiketi ya kushiriki kombe la Afrika huko Cameroon 2019.

Kwa kushinda 2-1 dhidi ya Botswana Jumapili hii ikiwa nyumbani kwa wiki ya tano ya michezo ya kuwana kufuzu Kombe la CAN 2019, Mauritania iliweza kuweka historia yake!

Mchezo umezana vibaya kwa vijana wa Corentin Martins baada ya bao ya kwanza ya Botswana kupitia mchezaji Kobe dakika 04. Lakini Moctar Ek Hacen aliweza kujibu bao hilo dakika la 20 na Ismael Diakite kufunga bao la mwisho la ushindi dakika 84 na kuipelekea Mauritania kufuzu.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com