NGM257

CAN U23 2019 : Burundi, licha ya kushindwa wafuzu

Spread the love

Timu ya taifa ya Burundi chini ya miaka 23, ilipoteza mchezo wao dhidi ya Kilimanjaro Stars (3-1) katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Afrika U23 uliopigwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Jumanne usiku huu.

Intamba U23 iliweza kufanya vizuri sana nyumbani kwa mchezo wa awali (2-0), kwa ushndi huo na bao moja ugenini iliweza kuwafanya vijana wa Joslin Bipfubusa kupata furaha na kufuzu hatua nyingine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com