NGM257

CAN U23 : RD Congo yainyeshea mvua ya mabao Rwanda

Spread the love

0-0 kwenye mchezo wa awali ya kuwania kufuzu Kombe la Afrika U23, DR Congo haikupata msukosuko mkubwa dhidi ya Rwanda kwa kushamiri zaidi na kupata ushindi wa mabao 5-0  huko Kinshasa Jumanne hii katika mchezo wa marudio.

Mapema sana Buangi aliona lango la Rwanda dakika ya 6, Muleka alitamba zaidi kwa kupachika mabao mawili (37,68) huku Mutumosi (61) na Balongo (84)  waliweza kukamilisha mabao 5 ya DR Congo.

DR Congo kwa ushindi wao huo wafuzu, watakabiliana na Morocco katika muzunguko ujao mwezi Machi 2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com