NGM257

Mbwembwe za ujio mpya wa Black G kwenye muziki zawatia presha wasanii Burundi

Baada ya kimya cha muda mrefu kwenye game la muziki Burundi, jina la msanii Juma Marembo…

News: Top 10 ya wasanii wa bujafleva wenye viewers na subscribers wengi YouTube na Vevo

Muziki wa Burundi unazidi kupiga hatua nzuri kwenye ubazi wa mitandao mana wasanii kwasasa wameanza kutambua…

Uongozi wa SatB watangaza kuanzisha Festival kubwa ya muziki Burundi 2019 kama wengine mastaa Afrika

Kupitia mtandao wa Twitter wa Kent P moja ya wafuatiliaji na waongozaji wa kubwa wa kazi…

Tetesi: Rappa Magic Kingorongoro amepotezwa na watu wasio julikana

Hofu na mashaka vimetanda kwenye Familia ya msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Burundi Magic…

News: KINGORONGORO AMLAMBISHA KINYESI MANAGER WAKE WANDA BOY KWA MATUSI MAZITO

Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Burundi Rappa Magic Kingorongoro amdiss manager wake Wanda Boy…

Kingorongoro aonekana kwenye dalili za ujio mpya na mkwaju mwingine

Rapa wa muziki kutoka nchini Burundi , Magic Soldier Kingorongoro ameanza kuonekana katika uwezekano wa kuachia…

News : Lolilo Uzalendo umemshinda, sasa aonekana ndani za Studio za Bantu Bwoy ya Fizzo

Baada ya kujitutumua na kupaa hewani kwa kiapo kikubwa kwamba hawezi kufanyia ngoma yake ndani za…

News: Sat B Aanza rasmi somo la lugha ili kwenda kimataifa zaidi.

Baada ya malalamiko mengine kutoka kwa watu tofauti kuhusu staa wa bujafleva Sat B kwamba lugha…

Kolabo ya El Coyote na msanii wa Ghana yazidi kuwashangaza wengi

Baada ya kufanya vizuri na kibao ” Afrika” alichoshirikiana na msanii wa bujafleva mkali wa masauti…

Best Life Music wamwagana na Management yao ya CMG

Kundi la muziki kutoka Burundi Best Life Music limetangaza rasmi kuacha na management yao ambayo ilikuwa…

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com