NGM257

Sat B ajiwekea rikodi ya kipekee kwenye muziki wa bujafleva, alamba laki tano za viewers uko YouTube.

Nyota ya Sat B yazidi kung’aa kwenye ulimwengu wa muziki, video ya ngoma yake “Feel Love”…

Linah Blanche aingia kwenye muziki na miguu yote miwili na “I Don’t Care” .

Baada ya kufanya hit nyingi akiwa na mpenzi wake Vivi Muyomba kwenye “SIKILIZA BAND“, Linah Blanche amethibitisha…

News: Wanda Boy wa TNB awatolea povu kubwa watangazaji flani ni baada ya Kingorongoro kujiondoa kwenye label yake

Baada ya msanii wa bujafleva Rappa Magic Soldier Kingorongoro kutangaza kujiondoa kwenye management ya Trust No…

News: Big Fizzo kamchana nani kwenye ngoma yake mpya itakayo kuja soon.

Maswali ni mengi sana baada ya Big Fizzo kupost kipande cha ngoma yake mpya ambayo msanii…

News: Étoile du Centre waibuka tena na RWASAZE, ni baada ya kimya kirefu.

Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye kundi kongwe la muziki wa Buja Fleva, Étoile du…

News: Wind Divin na Marembo watangaza kuiamsha bujafleva ambayo kwasasa ipo usingizini

Nchini Burundi wasanii kibao wamejitosa kwenye game la muziki huku wengine wakipania kuwa wasanii siku zijazo…

News: Young John aingia location ku shoot video ya ngoma yake mpya.

Msanii wa muziki wa bujafleva alietamba na vibao kama “Good Vibes na Snap it” Young John…

News: Gavana wa Rumonge Juvenal Bigirimana awakubalia zawadi nono wane wakwanza wa Izere Awards 2018

Baada ya kituo cha Redio izere Fm kuandaa na kugawa Awards kwa wasanii wa mkoani Rumonge…

News: Wajue wasani watano anaowakubali Sat-B kwenye Muziki wa Bujafleva.

Msanii anaekuja kwa kasi zaidi katika muziki wa buja fleva Sat-B amewataja wasanii watano katika muziki…

News: Big Fizzo apiga buti ukapela, amtolea mahari Boss wake mmiliki wa Bantu Bwoy Entertainment.

Msanii wa muziki wa bujafleva ,Mugani Désire maarufu kama Big Fizzo amemtolea mahari mpenzi wake wa…

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com