NGM257

Mbwembwe za ujio mpya wa Black G kwenye muziki zawatia presha wasanii Burundi

Baada ya kimya cha muda mrefu kwenye game la muziki Burundi, jina la msanii Juma Marembo…

News | Kingorongoro avunja kabati

Rapper Bizabishaka Mystere maarufu kama Magic soldier Kingorongoro anaetambulika kwa rikodi nyingi kwenye mziki wa Buja…

Rapper Bizzo Uwezo na Mwana Rnb A Flow Slim watoa tafu huko Trust nobody

Wasani wa kizazi kipya kwenye muziki wa Buja fleva Rapper Bizzo Uwezo na mwana RnB A…

Meneja wa Trust Nobody Wanda Boy atua Buja na kauli ya kuchafua

Wanda Boy mmiliki wa lebo ya mziki nchini inayotambulika kwa jina la Trust nobody alitua Bujumbura…

News: Top 10 ya wasanii wa bujafleva wenye viewers na subscribers wengi YouTube na Vevo

Muziki wa Burundi unazidi kupiga hatua nzuri kwenye ubazi wa mitandao mana wasanii kwasasa wameanza kutambua…

Uongozi wa SatB watangaza kuanzisha Festival kubwa ya muziki Burundi 2019 kama wengine mastaa Afrika

Kupitia mtandao wa Twitter wa Kent P moja ya wafuatiliaji na waongozaji wa kubwa wa kazi…

Tetesi: Rappa Magic Kingorongoro amepotezwa na watu wasio julikana

Hofu na mashaka vimetanda kwenye Familia ya msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Burundi Magic…

News: KINGORONGORO AMLAMBISHA KINYESI MANAGER WAKE WANDA BOY KWA MATUSI MAZITO

Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Burundi Rappa Magic Kingorongoro amdiss manager wake Wanda Boy…

News : Aimé Loveness kuachia wimbo mpya ?

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Aimé Loveness ambae alifahamika sana katika kundi la muziki Mirror…

News | Vichou kuachia album mbili mwezi Desemba kwa mpigo

Msanii wa muziki  wa Bujafleva anayewakilisha kundi nzima la Peace & Love, Vichou Love atarajia kuachia…

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com