NGM257

COLLABO ya TOFY GAS na MR BLUE

Spread the love

Baada ya kukamilisha safari yake iliyompeleka SOUTH AFRICA, TOFY GAS anatarajia kuachia COLLABO yake na msanii mahiri sana MR BLUE kutoka Tanzania.

Wawili hao wamekutania mjini CAPETOWN kwenye show kwenye ukumbi wa CLUB 7 baadae wa kaamua kutengeneza kazi kwa pamoja.

Kwa mjibu wa TOFY GAS anasema kuwa MR BLUE amependezwa sana na uwezo wake wa kuimba na kuvutiwa na kazi ambazo alizifanya na TID kama KWANINI MIMI na WOMAN.

COLLABO hiyo ambayo wasimamizi wa TOFY GAS wanasema kuwa Video yake tayari washamaliza kushoot itaachiwa mnano siku chache baada ya kumaliziwa kutengenezwa na Director ambae ameisimamia.

Endelea kuitazama Video ya KWANINI MIMI akiwa na TID MNYAMA.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com