NGM257

Hot news| Lill’P kwenye video mpya

Spread the love

Baada ya kuonekana kwenye video ya wimbo wake FIND YOU, Lill’P, zimeonekana picha kadhaa kwenye mitandao ya kijamii za (Behind The scene) zinazo ashiria kuwa yupo kwenye sarakasi za kutengeneza video nyingine ambayo mpaka dakika hii haijajulikana wala hajaongea kwenye chombo chochote cha habari kuwa ni video ya wimbo gani.

 

 

 

 

 

 

 

Kumbuka kuwa msanii huyo yupo mbioni kuzindua Album yake ya kwanza iliopewa jina la MURDER WEAPON, Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika tareh 12 mwezi Mei, 2018 nchini Australia, Adelaide.

Album hiyo imebeba nyimbo kibao zikiwemo YOU YOU YOU alioshirikiana na msanii Bennie Gunter (Uganda), KISS ME aliomshirikisha msanii Sat B Satellite (Burundi).

Tazama video ya FIND you hapa chini

 

One thought on “Hot news| Lill’P kwenye video mpya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com