NGM257

Hot News |NATACHA atangaza kutoa zawadi kwa mashabiki wake.

Spread the love

Mwanamuziki NATACHA baada ya kuikamilisha COLLABO yake kubwa ya kimataifa akimshirikisha mwanamuzi mkubwa FALLY IPUPA kutoka DRC (CONGO) kwa wimbo wake wa DUGA.Sasa awaahidi mashabiki wake kuwapa zawadi kubwa.

NATACHA anakaribia kuachia wimbo wake ambao mpaka sasa haujulikani utakuwa unaitwaje au utakuwa unabeba ujumbe gani kiundani.

Kupitia ukurasa wake wa FACEBOOK ambao ni Natacha Burundi,ameweza kupost picha kadhaa zizao muonyesha akiwa studio na watu wake wanaosimamia kazi zake  pamoja na Producer AMIR PRO kutoka MA PRODUCTION.

NATACHA ameweza kutupia maneno kwenye post yake yanayoashiria kuwa kuna kazi yoyote ambayo anaweza kuiachia siku kadhaa muda wowote.Ameweza kuandika maneno yafuatayo.

#Amir pro @mugishaamir ubibona gute? Ndekure canke ndindire? Aha turi mugikoni turiko turacopora igikorwa gishasha iyi ishobora kuba cadeau kuba fans bacu aho bari hose!!!!!!
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
#Amir Pro unaonaje? Niachie au nisiachie? Hapa tuko jikoni tuko tunapika kitu kipya! Hii itakuwa kazi mpya na zawadi yangu kwa wa fans wangu popote pale walipo!!!!!!

Endelea kuburudika na wimbo wake wa DUGA huku ukiisubiria kwa hamu kubwa kazi yake mpya.

SHARE NA WENGINE HABARI HII.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com