NGM257

Hot news| Shabiki amuumbua Gaga Blue hadharani

Spread the love
 picha hii haihusiki na tukio

 

Msanii wa Burundi Gaga Blue ambae ni msanii pekee aliepo chini ya Management ya label (YOU & I)  anaetamba kwa kibao chake MAMA LA MAMA, Inafahaka kuwa yupo nchini Tanzania ili kujiendeleza ki muziki…

Leo hii imezagaa mitandaoni picha aina ya screenshot inayo onyesha maoni ya mmoja kati ya wafuatiliaji wa karibu wa muziki wake huko nchini Tanzania anaetumia jina la ERASTDAPIMP huko You Tube akishusha povu huku akimshauri msanii huyo.

 

NANUKUU: Duhh.. Nimeona baadhi ya kazi za huyu msanii.. ana kipaji.. lakini kati ya nyimbo zake mbili ktk hii album yake ya mwaka huu 2017 (Nakupenda – by Gaga Blue) amekopi sampling za wimbo wa msanii wa Kenya (Kristoff – Gudi Gudi https://www.youtube.com/watch?v=ryLQx8k65Bs)... Halafu na wimbo wake wa (Moto – by Gaga Blue)..amekopi sampling za wimbo wa msanii wa Tanzania ( Countryboy ft MwanaFA – Turn Up https://www.youtube.com/watch?v=QnivZdqCKEo). If you want to prosper internationally, this wasn’t a smart move. I can see you have a talent and it look like you have been a good artiste within your country Burundi. Now, you are trying to go out of your country’s borders… but you didn’t have to introduce yourself internationally by sampling other tracks done by international artistes (Kristoff’s song and Country boy’s song). Try again to come out strong with your own identity. Another thing, you call your music Buja Flava (i believe you mean Bujumbura Flava) but everything in your music sounds exactly like Bongo Flava. I think my advice to you will be either you can stick on doing Bongo Flava OR you look for a true unique identity for your music and dont make it sound like bongo flava then you eventually you can call it Buju Flava. And be careful now, these producers from Tanzania are throwing you with instrumentals from other artistes’ songs and that WILL kill you internationally instead of building. Think of that.

 

Tazama Vidio mpya ya Gaga Blue hapa chini

 

2 thoughts on “Hot news| Shabiki amuumbua Gaga Blue hadharani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com