NGM257

Hot News|Tazama muonekano mwingine wa BIG FIZZO

Spread the love

Mwanamuziki nguli sana BIG FIZZO au BANTU BWOY kama anavyojiita siku hizi ameonekana kuja kivingine kwenye video yake mpya ya KONZI.

Video hiyo ambayo inadaiwa kuwa yenye ubora wa kipeke zaidi imeachiwa rasmi kama alivyokuwa ameahidi Mwanamuziki huyo.

kwa mjibu wa baadhi ya mashabiki wanadai kuwa video hiyo inaonyesha ni kiasi gani B FIZZO amejipanga kivingine na kufanya kazi nzuri zaidi.

Tazama video hiyo hapa.Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com