NGM257

News| Kimenuka: Kingorongoro na Trust no body imebaki story

Spread the love

Moja kati ya stories zinazobamaba mitandaoni asubuhi hii ya leo Septemba16 2018, ni pamoja nah ii ya kutoelewana kati ya Magic soldier Kingorongoro na usimamizi wake Trust No Body Production.

Fununu za mitandaoni ni kwamba chanzo cha kutoelewana kwao ni baada ya msanii huyo kufanya collaboration na rapa mwenzie Gaga Blue walipokutana studio wakipeana mizuka.

Ikumbukwe kwamba Trust No Body wamemsajili Kingorongoro kutoka Mood Nation kisha baadae wakaingia mkatabani na msanii Sat B Satlight.

 

“ Inawezekana manaja wa TNB, Wanda Boy ameshindwa kumsimamia Sat B na Magic kwa pamoja na ndio maana kazi za magic zilikua zikipuuziwa na muda mrefu wanda ameonekana yuko karibu sana na Sat B” alisema mmoja kati ya mashabiki wa muziki.

Tare 3 septemba majira ya asubuhi imeonekana You Tube channel ya Magic ku hakiwa na watu wasiojulikana na ku futa video zote kwenye channel, kitu ambacho kimezua mjada mrefu kati ya TNB na Kingorongoro.

NGM257 tulifanya jitihada za kumsaka Wanda Boy na Magic Kingorongoro bila mafanikio.

Hivi punde tutakuletea habari kamili…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com