Kingorongoro aonekana kwenye dalili za ujio mpya na mkwaju mwingine

Spread the love

Rapa wa muziki kutoka nchini Burundi , Magic Soldier Kingorongoro ameanza kuonekana katika uwezekano wa kuachia wimbo mpya ambapo kuna uwezekano ngoma hiyo ikapewa jina la Coming Soon iyo inatokana na Hashtag za neno hilo kwenye kila post yake mitandaoni kama instagram, Twitter na Facebook.

Rapa huyo mwenye uwezo wa kutambaa na kila mdundo wa muziki ameonekana pia akiwa amebadili muonekano wake wa nywele ambapo kwasasa amezisokota rasta, hii ni nyingine ishara tosha ya kwamba staa huyo amekuja kivingine tena kwa kasi kubwa.

Ikumbukwe kwamba Rapa Kingorongoro kwasasa anatamba na kibao Ex Girlfriend alichoshirikiana na msanii kutoka Tanzania Baraka Da Prince.

Itazame hapa Ex Girlfriend by Kingorongoro ft Baraka Da Prince

Related Post

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat