NGM257

Kolabo ya El Coyote na msanii wa Ghana yazidi kuwashangaza wengi

Spread the love

Baada ya kufanya vizuri na kibao ” Afrika” alichoshirikiana na msanii wa bujafleva mkali wa masauti “Black G”, El Coyote atuletea kolabo nyingine na msanii kutoka Ghana “C-Fly” na ngoma imepewa jina la “Johnny Walker“.

 

Staa huyo wa Burundi Mc El Coyote ambae makazi yake kwasasa ni nchini Ufaransa anazidi kuipeperusha Burundi kupitia runinga kubwa kubwa za nchini Ufaransa na West Africa kama Ghana na Nigeria kupitia kibao chake hicho cha “Johnny Walker”

Kwa nini ngoma hiyo ilipewa jina la Johnny Walker?

El Coyote ameyambia NGM TV257 kwamba : “Le titre c’est Johnny Walker ça fait allusion à une meuf où une (femme ) je compare Johnny Walker a la meuf qui est trop bonne où jolie , je la demande de me mettre bien comme l’alcool johnnie walker , quand j’ai un problème c’est elle qui me change des idée par exemple quand je un problème je me calme avec cette alcool , iko na definition nyingi , tunamu comparer mwanamuke nahiyo alcool“, alisema Mc El Coyote kwa lugha ya Kifaransa.

Staa huyo kwasasa yupo anajianda kujiekeza Burundi yeye na uongozi wake wote ili kujitambulisha zaidi na kutambulisha kazi zake za muziki.

Itazame hapa video ya ngoma hiyo “Johnny Walker” :

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com