NGM257

Lolilo atangaza kuacha muziki endapo Guitar haitozishinda ngoma zote za Burundi

Spread the love

Staa wa muziki kutoka Burundi, msanii Lolilo ambae kwasasa anajiita kizima moto ametangaza kuacha muziki endapo ngoma yake iliyopewa jina la “GUITAR” kutobaba kwenye muziki wa Bujafleva mwishoni mwa mwaka huu.

Kupitia kurasa zake za mitandaoni ya kijamii ameandika ujumbe ambao umewashitua ma fans wa muziki nchini Burundi ambapo ameandika ujumbe mzito na kusema:

“Hello fans wa buja fleva, nataka kuachia moto uitwao GUITAR na katika nyimbo nimeshagaimba ao zimeshagaimbwa Burundi mpaka mwisho wa mwaka huu pakiwa wimbo wa kushinda ngoma ya Guitar basi nitaacha muziki rasmi na ku staff kabisa”, amesema Lolilo.

Lolilo ameandika maneno hayo siku ya leo ambayo ndio siku ya kumbukumbu yake ya kuzaliwa na kwasasa staa huyo na legend wa muziki wa bujafleva anaendelea kutamba na kibao Dede.

NGM257 inamtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa (HAPPY NEW AGE TO U LOLILO SIMBA WA BUJAFLEVA)

Endelea kutembelea tovuti hizi ili uwe wa kwanza kupata ngoma hiyo Guitar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com