NGM257

Marekani,Canada na Mexico wajishindia kuandaa kombe la Dunia la 2026

Spread the love

Kombe la Dunia ya 2026   litafanyika nchini Marekani, Kanada na Mexico baada ya kuchagulia na kamati ya umoja wa FIFA kwa kura 134 kwa 65 kura za Moroko  Mjini MOSCOW. 

Kombe la Dunia la 2026 litakuwa limerudi kuandaliwa na Nchini za Marekani ya kusini kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1994, wakati ambao Marekani waliandaakombe hilo pekee yao.MEXICO ishawahi kuandaa kombe hilo mara pili mwaka 1970-1986,Huku CANADA ikiwa haijawahi kuandaa kombe hilo isipokuwa Kombe la Dunia la wanawake mwaka 2015.

 

Kombe hilo la 2026 litakuwa Kombe la pili ambalo limeandaliwa na Nchi zaidi ya mbili likifuata ambalo lililowahi kuandaliwa na Japan pamoja na Korea kusini mwaka 2002.

Canada na Mexico watapokea micheza 10 huku Marekani nayo ikipokea michezo 60 kwa ujumla,ikiwa ni pamoja na michezo yote kutoka robo-fainali kuendelea.

“Football is the only victor. We are all united in football,” US Soccer president Carlos Cordeiro said.

“Thank you so, so much for this incredible honour. Thank you for entrusting us with this privilege.”

“Soka ndie mshindi pekee, sisi sote tunaungana katika soka,” Raisi wa Soka wa Marekani Carlos Cordeiro alisema.

“Asante hivyo, sana kwa heshima hii ya ajabu. Asante kwa kutupa nafasi hii.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com