NGM257

Mercato : Barcelona yafungua mlango wa kurudi kwa Nyemar Jr.

Spread the love

Neymar aliwasili Paris mwaka 2017 kutoka Barcelona, jina lake bado limeusishwa kurudi la Liga,  Real Madrid au FC Barcelona.

Meneja mkuu wa klabu ya Katalani, Pep Segura alizungmzia kuhusu kurudi kwa mbrazilia katika mahojiano na Cadena Ser. Meneja huyu alifungua mlango wa kurudi iwezekanavyo wa mchezaji wa zamani wa Santos.

“Kila kitu kina mda wake, nilimwambia wakati huo kuwa mchezaji yeyote ambaye anaenda kupata pesa harudi. lakini hali hiyo ni tofauti na Neymar kwa sababu hatuzungumzii kuhusu mchezaji aliyetoka katalani, kulingana na hali ya soko, tutaangali chakufanya,” alisema Mkurungezi mkuu wa FC Barcelona.

Mfungaji wa mabao 10 msimu huu, Neymar bado ni muhimu sana kwa PSG na tayari timu inayo mmiliki ilisema kwamba hawawezi kubali kuona klabu nyingine kumchukua na kumpeleka nje ya mji mkuu wa ufaransa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com