NGM257

Mercato : Hatimaye Ndikumana justin asaini mkataba na Sofapaka

Spread the love

Klabu ya Kenya, Sofapaka ilikubaliana na Lupopo ya DR Congo kwa uhamisho wa golikipa wa timu ya taifa Intamba Murugamba (Burundi), Ndikumana Justin.

Justin Ndikumana sio tena golikipa wa Lupopo baada ya klabu Sofapaka kutangaza kwamba wamekubaliana kwa  uhamisho wa golikipa wa Burundi kwa mkataba wa miaka miwili.Niwakumbushe kwamba Elly Kalekwa  mmiliki wa klabu hiyo, alipoteza wachezaji tisa ikiwa ni pamoja na Kevin Kimani, Bernard na magolikipa wawili  Kasaya na Mathias Kigonya huku Justin Ndikumana ni kati ya wachezaji watano ambao walijiunga na Sofapaka kabla ya msimu 2018/2019 wa KPL mnamo Desemba 8.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com