NGM257

NATACHA ajiandalia kuizunguka BURUNDI yote

Spread the love

MWANAMUZIKI wa kikazazi kipya NATACHA LA NAMBA LA BAMBA au NATACHA NOMA maarufu kama QUEEN OF STAGE kama wanavyomuita siku hizi anajiandaa kuzunguka Burundi nzima Zaidi akiwaburudisha wananchi kupitia tamasha iliyopewa jina la UBURUNDI BWACU TOUR.

Tamasha hilo ambalo litamgharimu takribani siku kama mwezi mmoja ukiweka na maandalizi  linatarajia kuanzishwa rasmi tarehe kumi na tatu,Aprili,2018.

Kalenda nzima imepangwa kama ifuatavyo:

MAKAMBA: 13 ,Aprili,2018

RUMONGE: 14 ,Aprili,2018

KAYANZA: 20 ,Aprili,2018

NGOZI:21 ,Aprili,2018

KOBERO: 27 ,Aprili,2018

MUYINGA: 28 ,Aprili,2018

KARUSI(BUHIGA) :04 ,April,2018

GITEGA: 05 ,Mei,2018

BUBANZA: ……

CIBITOKE: ……

Nikukumbushe kuwa NATACHA kwa sasa anahesabika miongoni mwa wasanii wanaojituma sana na wanaoendelea kuipeperusha bendera ya Nchi kimziki .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com