NGM257

New Audio| Tisa Ronick Feat Jogos – Sikobizohora|Download Mp3

Spread the love

Msani wa muziki wa Reggae Tisa Ronick ameachia wimbo wake mpya ”SIKOBIZOHORA” wenye miondoko ya Reggae akiwa ameshirikiana na Jogos.

Kwenye wimbo huu Tisa Ronick anawashauri warundi wasikate tamaa na kwamba kwenye matatizo wanayoyapitia kwa kila siku wasikate tamaa kuna siku yatapita .

Wimbo mzuri usikose kuusikiliza.

Hivi karibuni nitakupa Biography ya msani huu ambae aliwania awards nyingi za muziki nchi Burundi

DOWNLOAD Mp3 Here: Tisa Ronick ft Jogos – Sikobizohora

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat