NGM257

New Audio|Malaika by CALIXTE feat. WALTAZ|Download mp3

Spread the love

Mwanamuziki wa kizazi kipya CALIXTE ameachia wimbo wake mpya uliopewa Jina la MALAIKA akimshirikisha WALTAZ. wimbo ambao unaoneka kuleta gumzo sana kila kona kutokana na Ubora wake.

Wimbo huo umetengenezwa na KANEZ TOUCH Producer kutoka MASTER MUZIK RECORDS.

sikiliza wimbo huo hapa chini. Usisahau kushare na wengine Kama Kawaida yetu.

One thought on “New Audio|Malaika by CALIXTE feat. WALTAZ|Download mp3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com