NGM257

New Video | Aime Loveness – Amazing Love (Official music video) | Download Mp4

Spread the love

Msanii wa muziki wa Buja fleva ambaye ni mmoja wa wanamuziki wanaounda kundi la Mirror Team, Aimé Loveness ameamua kuachia kazi yake ya kwanza pekee akiwa nje ya Kundi. Video yake mpya ya wimbo wake unaobeba jina la AMAZING LOVE.

Kuwa wa kwanza kutazama kazi nzuri hapa:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com