NGM257

New Video | Black-G – Give Me Love (Official Video)

Spread the love

Baada ya ukimya wa mda mrefu, msanii wa muziki kutoka Burundi, Black ameachia video yake mpya ya wimbo wake unaobeba jina la GIVE ME LOVE. Video ilitengenezwa na Director Andyllair huku Audio chini ya mikono ya ma producor wa wili Kolly tha Magic na Lizer classic.

Kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa No. +257 75707305

Kuwa wa kwanza kutazama video hapa :

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com