NGM257

New Video: Mc El-Coyote – Africa ft Black G ( clip officiel )

Spread the love

Msani wa muziki Mc El-Coyote ambae makazi yake ni nchini Ufaransa ameachia Video ya ngoma yake mpya “AFRIKA” ambayo ameshirikiana na msani Black G.

Kwenye ngoma hii El-Coyote amejaribu kuyazungumzia mazuri yote ya bara letu la Afrika.

Itazame hapa ,kwa kweli ni tamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com