NGM257

New Video | Olza Boy – My Tattoo (Official Video)

Spread the love

Msanii wa muziki wa BujaFleva. Olza Boy ameachia video yake mpya ya wimbo wake unaobeba jina la MY TATTOO, ilitengenezwa na Director wa LK Visual huku audio chini ya mikono ya Producer Fragga.

Kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa No. +257 75707305.

Kuwa wa kwanza kutazama hapa :

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com