New Video | Wanda Boy Z Hero – Only You (Official Video)

Spread the love

Msanii wa muziki kutoka Burundi akiwa pia kiongozi wa Lebo ya Trust No Body, Wanda Boy (Mzee Baba) ameachia video mpya ya wimbo wake unaombeba jina la ONLY YOU (Ni wewe Pekee)  huku video ikitengenezwa na Guera man na audio chini ya mikono ya Yogo Beat pande za Trust No Body Production nchini Afrika Kusini.

Kuwa wa kwanza kutazama hapa :

Related Post

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat