NGM257

News| alichoongea verbo kuhusu collabo yake na lolilo.

Spread the love


Msanii rapa kutoka nchini Angola maarufu kama VERBO, amethibitisha kuwa amepokea mualiko kutoka kwa mfanyabiashara Tyre Somaly ili kufanya kazi na msanii kutoka nchini Burundi ambae ni Lolilo Simba nae amekubali changamoto hiyo, kama inavojilikama kuwa kolabo hiyo itaunga umoja kati ya nchi hizo mbili kimuziki.

Já a muito tempo que venho a fazer música, e fico muito feliz por conseguir fazer chegar a minha músicalidade nos outros países , principalmente que não falam a mesma língua que nós… Eu tenho sempre dito que a música tem uma linguagem própria, ela tem a sua forma de tocar em cada pessoa que está pronta para receber a energia” , alisema Neto do Velho Domingos(Verbo)

Ni muda mrefu nafanya muziki, pia nafurahi sana kufikisha muziki wangu nje ya nchi, hususan nchi ambazo hatuongei lugha moja, siku zote na zungumza kuwa muziki una lugha yake binafsi, muziki una namna yake yakuweza kumgusa kila mtu mwenye hamu.

Rapa huyo kitoka Angola amekiri kuwa mwaka huu amefanya jukumu lake na mungu kamjaalia watu wengi wamekubaliana na ndoto zake

“Este ano é frutifero, e tenho feito os possíveis para fazer com que as pessoas possam chegar a conhecer mais o meu trabalho, e embarcando nesta grande aventura, sinto-me lisonjeado e só me faz acreditar mais e me auto motivar para darmos continuidade realizando os nossos sonhos” , kamalizia Verbo.


” Mwaka huu kwangu ni mwaka ea matunda, pia nimefanya jitihada ili kuonesha watu kazi zangu mpaka kufikia kwenye hatuwa hii, najihisi mwenye furaha mno na kutamani nizidishe kutimiza ndoto zangu.”

 

Celsio Inacio, tofauti na muziki verbo ni mhariri mzuri ambapo kwa sasa ana hariri kitabu chake ambacho anazungumzia maisha ya bibi yake ambae alikua kioo cha jamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com