NGM257

News: Big Fizzo apiga buti ukapela, amtolea mahari Boss wake mmiliki wa Bantu Bwoy Entertainment.

Spread the love

Msanii wa muziki wa bujafleva ,Mugani Désire maarufu kama Big Fizzo amemtolea mahari mpenzi wake wa muda mrefu Judith ambae ndie Boss wa Label ya Bantu Bwoy ambayo inawamiliki wasani kama Big Fizzo(C. E. O), Double Jay na Rappa mtoto Kirikou.

Sherehe zilifanyika usiku wa August 24,2018 kwenye ukumbi wa One People Bujumbura – Burundi ambapo walialikwa ndugu na jamaa za wawili hao.

Sherehe za harusi inasemekana zitafanyikia nchini Italy hivi karibuni.

NGM257 tunampa hongera kwa kujipa jiko.

  1. Picha:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com