NGM257

News | Desire P kuja na muonekano mpya ndani ya kundi ya Black7

Spread the love

Mwanamuziki wa Buja Fleva, Desire P kati ya vijana wawili ambao walikua wakiunda kundi la Black7, anatarajia kuja na muonekano mpya hivi karibuni.

Baada ya kuachia nyimbo mbili wakiwa pamoja, wawili hawo wametawanyika ambapo  wametangaza kwenye akaunti yao ya Facebook (Black 7) kuwa Robbiaz King ameondoka kwa ruksa na makubaliano yao kama kundi.

Ifahamike kuwa Black 7  walikuwa na wimbo uitwao Sorry ambao Desire P aliebaki kwenye kundi hilo ameamua kuendelea kumalizia arakati nzima ya wimbo huo uitwao One Day ambao itaachiwa hivi karibuni  kama unavyoona kwenye picha hapo juu.

Kwa mjibu wa habari kutoka kwa mhusika ni kuwa tukae tayari kupata wimbo huo wa kichwa kimoja kilichobaki ndani ya Black 7.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat