NGM257

News: Double Jay Ashindwa Kujizuia Aanika Penzi Lake na Miss Erica Hadharani

Spread the love

Mwanamuziki wa Bujafleva kutoka Bantu Bwoy Entertainment anaetamba na kibao “Uri Special” , Double Jay ameshindwa kuzuia hisia zake na kuanika hadharani penzi lake kwa msanii mwenzake Miss Erica.

Japo miss Erica hajaweka wazi penzi hilo, tayari Double Jay aonyesha kwamba ndie anafaidi kwasasa penzi la mrembo Miss Erica ambaye anatamba na kibao Mon Amour.

Kama waswahili wanavyosema mapenzi kikohozi basi ndio mahaba yamemzidi Double Jay aamuwa kuweka wazi kupitia kurasa zake za instagram na kupost picha tatu tofauti uku zikishindikiza na caption za kimahaba zikishindikizwa na emoj zenye alama za penzi moto moto zikisema :
1. ” Uri Special Mon Amour”
2. ” I’m in Love”
3. ” Ma Boo”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com