NGM257

News: Emery Sun ataja jina la ngoma yake mpya itakayokujia hivi karibuni

Spread the love

Msani wa muziki wa bujafleva mkali wa miondoko ya RnB na muandishi mzuri wa mashairi “Emery Sun” amepanga kuachia ngoma mpya hivi karibuni ambayo imepewa jina “Uransaza“.

Kupitia Status ya namba yake ya whatsapp, Romantic Boy “Emery Sun” aandika ujumbe akisema :”Ngoma nitakayoachia hivi karibuni nitaipa jina la Uransaza”;ameandika Emery Sun kwa lugha ya kirundi na Msani huyo kwasasa anatamba na video ya ngoma yake “Ndakurwaye“.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com