NGM257

News | Etienne Nkuru kuja na mambo makubwa baada ya Ntihindugwa nibihe

Spread the love

Msanii wa nyimbo za Injili wa Buja Fleva mwenye makazi yake nchini Canada, Etienne Nkuru baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo wake “Ntihindugwa nibihe”, amesema kuwa anatarajia kuja na mambo makubwa na wimbo wake mpya unaobeba jina la ” Ndarinzwe”.

Aidha, ndani ya wimbo Ndarinzwe kuna patikana mashahiri ya kumtukuza Mungu kwa mema na baraka anayo watendea waja wake.

“wengi wamepokea vizuri sana video yangu na mpaka sasa inazidi kufanya vizuri nchini, mambo makubwa natarajia kufanya ni kwanza ku shoot video ya wimbo mpya Ndarinzwe, mazingira ya video ninaimani wata furahi na pia nina Concert Canada hivi karibuni, siku za mbele nitaachia albam yangu mpya.” Alisema Etienne Nkuru.

Hebu sikiliza hapa wimbo wake mpya:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com