NGM257

News | Je Lolilo anarudi ule wa enzi zile au La?

Spread the love

Mwanamuziki maarufu wa kizazi kipya nchini Burundi, Lolilo Simba (Kizima Moto) ni msanii ambaye alikuwa anafanya vizuri miaka za nyuma kwa kuimba nyimbo za kijamii na maisha ya kila siku ya warundi walio wengi na alikuwa na utunzi mzuri katika nyimbo zake.

Miezi kadhaa masabiki walijaa na mashaka labda wanaelekea  kumpoteza msanii huyo kwenye game ya muziki, sio kusema alikuwa nje ya muziki hapana, mambo imeanza kugoma kila akitoa track.

Kwasasa Lolilo ameachia wimbo wake mpya hivi karibuni  unaobeba jina la ”Deede”  ambayo utashindwa kujiziwia kuipenda wimbo huwo na umepokelewa vizuri  hadi kugusa viongozi mbali mbali.

Wimbo wake ”Deede” ilitoka kila mtu anaukubali haijalishi kwamba wewe ni kiongozi au mheshimiwa, kila mtu anausikiliza kwasababu mashahiri iliyomo inagusa maisha wakati tuko katika ulimwengu wa mapenzi.

Kama haujaiskiliza basi chukuwa muda hapa :

Pia unaweza kui download hapa :  Download

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com