News | King Touch amtumia Natacha kuwa Video Queen wa video yake na cover ya wimbo

Spread the love

Msanii wa muziki wa Buja Fleva mwenye makazi yake Afrika Kusini, King Touch inasemekana atamtumia msanii wa kike  maarufu Afrika mashariki kutoka Burundi, Natacha LaBamba kama video Queen kwenye video yake mpya ya wimbo wake unaotarajiwa kuachiwa hivi karibuni unaobeba jina la Nipe Penzi.

Wimbo wa NIPE PENZI inasemekana video yake itatoka hivi karibuni na ndani yupo mwana mama mzuri na mwenye kipaji Natacha La Bamba, King Touch alimsifia Natacha kwenye ukurasa wake wa instagram na kupost cover ya wimbo wake huwo.

King Touch amesema kuwa video ya Nipe penzi  na picha  ya Natacha kwenye cover ya wimbo wake ni mwanzo wa kazi endelevu zitakazo kuja kati yake mrembo huyo.

Related Post

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat