News: KINGORONGORO AMLAMBISHA KINYESI MANAGER WAKE WANDA BOY KWA MATUSI MAZITO

Spread the love

Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Burundi Rappa Magic Kingorongoro amdiss manager wake Wanda Boy The Hero ambae ndie mmiliki wa label ya Trust No Body ambayo ilikua ikisimamia kazi zake za muziki yeye na msanii Sat B.

Kupitia kurasa zake za instagram Kingorongoro amemdiss matusi ya nguoni manager huyo pamoja na uongozi wake wote, akisema kwamba manager huyo hafai na alikuwa akitaka kiki kupitia jina lake kwaio aache kumfuatilia mana hamtaki tena.
Kingorongoro ameandika ujumbe mzito wa kuyafichua maovu yote ya Wanda Boy uku akiweka picha ikionyesha ujio wa ngoma yake mpya ambayo imepewa jina la “COMING SOON“.

Ikimbukwe Rappa huyo kwasasa anatamba na kibao “Ex-Girlfriend” alichoshirikiana na msanii kutoka Tanzania Baraka Da Prince.

Related Post

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat