NGM257

News | Kingorongoro avunja kabati

Spread the love

Rapper Bizabishaka Mystere maarufu kama Magic soldier Kingorongoro anaetambulika kwa rikodi nyingi kwenye mziki wa Buja fleva ameonekana hiyo juzi 22 January 2019 akiwa amependeza sana tena na nguo za bei

Msanii huyo anaetamba kwa sasa na kibao cha “Coming soon” alichotengenezea hapa nchini kabla ya kuvuka na kuelekea Tanzania ambapo alikuwa ameenda kwa kazi zake za mziki ameonekana akiwa amekula suti kwenye siku ya mapokezi ya menaja wake Wanda boy alipowasili kufungua rasmi studio yake na kutambulisha producer atakae fanyia kazi kwenye studio hiyo

NGM257 tulijaribu kumuuliza bei ya kivazi alichokuwa ametupia akatwambia kuwa alivalia laki tano pesa ya Burundi (5.000.000 FBu)

Ikumbukwe Kuwa Rapper huu na rikodi lebo yake ya Trust nobody wanatalajia kuachia kibao kipya ambacho jina inasemekana kutajwa hivi karibuni

Written by Peniel Kamikaze New generation Media

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com