NGM257

News : Lolilo Uzalendo umemshinda, sasa aonekana ndani za Studio za Bantu Bwoy ya Fizzo

Spread the love

Baada ya kujitutumua na kupaa hewani kwa kiapo kikubwa kwamba hawezi kufanyia ngoma yake ndani za Studio ya hasimu wake mkubwa msanii Big Fizzo, Lolilo aonekana ndani za Studio za Bantu Bwoy akiwa anapika ngoma mpya na staa huyo wa Bujafleva.

Picha wawili hao imeanza kusamba mitandaoni ikionyesha mastaa hao Lolilo na Big Fizzo Wapo studio, kitendo ambacho kimewafurahisha wadau wengi wa muziki uku wakihisi tofauti za masta hao kwamba zimefika ukingoni.

Je Bifu la wa kongwe hao wa muziki wa bujafleva limekwisha?

Kaa karibu na tovuti hizi tutakujuza mengi.

Isikilize interview ya Lolilo akiongelea kuhusu Big Fizzo na Studio yake ya Bantu Bwoy Music :

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com