News | Mswati wa III abadili jina la nchi ya Swaziland

Spread the love

Mfalme Mswati III akiwa kiongozi mkuu wa Swaziland abadili jina la nchi hiyo ambayo kwasasa itafahamika kwa jina la eSwatini.

Kuulingana na mchanganiko wa lugha ya Swati na Kingereza, jina la Swaziland halionekani tena kuwa rufaa kwa wakuu hawa tangu mwaka 1986. Nchi nyingi za Afrika zilichukua majina yao kabla ya ukoloni baada ya Uhuru wao.

Kwa hiyo Mfalme Mswati III leo hii mbele ya wananchi wake wakati wa sherehe ya kutimiza miaka 50 kwa kiongozi huyu na ikiwemo sherehe ya maadhisho ya miaka 50 ya uhuru hiyo, alitumia mda wa kubadili jina la nchi yake na kwasasa ESwatini  ndio jina litawakilisha nchi hiyo.

You May Also Like

One thought on “News | Mswati wa III abadili jina la nchi ya Swaziland

  1. I have checked your website and i’ve found some duplicate content, that’s why you don’t rank high in google, but there is a tool
    that can help you to create 100% unique content, search for:
    SSundee advices unlimited content for your blog

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat