NGM257

News: Sat B Aanza rasmi somo la lugha ili kwenda kimataifa zaidi.

Spread the love

Baada ya malalamiko mengine kutoka kwa watu tofauti kuhusu staa wa bujafleva Sat B kwamba lugha za kigeni kama English na French zinamsumbuwa kwenye ubazi wa uandishi sasa msanii huyo atangaza rasmi kuanza somo la lugha ili kujiweka sawa na kwenda na wakati kama wengine mastaa wakubwa dunia.

Kupitia kurasa zake za Facebook Staa huyo ameandika ujumbe kwamba hivi karibuni ataanza somo la lugha ili kujiweka sawa.

Sat B ameandika kwa lugha ya taifa na kuwashukuru wanaoendelea kumsapoti na amewambia wa mwambie mzazi wake Mama Karume kwamba mwanae sasa ameanza somo la kingereza.

“Love You Guys, Thnx kuri support yanyu mbwirira Abandi hamwe na Mama Karume yuko natanguye kwiga icongereza kuko ivyubu ni….” ameandika Sat B

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com