News| Sat B amtaja Slay, adai jina la Maréchal amelitoa kwa Slay

Spread the love

Msanii Sat B anaetamba na kibao No Love aeleza sababu ya kujiongezea a.k.a ya Maréchal,ni baada ya maneno mengi kupitika mitandaoni ya kisema jina hilo amemuibia msanii mkongwe kwenye game la bujafleva Rappa Slay alietamba na vibao vikali kama Mama Watoto nk.

Kupitia mahonjiano aliyoyafanya na NGM TV257, aliulizwa kuhusu tuhuma zinazopita mitandaoni kuhusu jina la Maréchal, Sat B alisema :
“Slay is my idol ndio maana ni mejiita hilo jina, nimemuona kitambo akifanya muziki mzuri uliokubalika na alikuwa akiitwa Maréchal kitambo, ila kwakua kwasasa pako new generation artists ambao wanafanya vizuri ndiomana nimechukua hilo jina mimi kama leader wa sasa kwenye huu muziki wa new generation artists na ninamuheshima sanaa Slay Maréchal mwenzangu kwasababu aliendelea kulinda heshima ya bujafleva na heshima kwa wasanii wenzake”. Aliongea Maréchal Sat B

Ifahamike kwamba Maréchal Slay na Frank Duniano walimaliza bifu yao na kwasasa wako pamoja ndani ya label ya Wananchi Entertainment na tayari wameachia kibao kilichopewa jina la “Kiporo.”

Related Post

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat