NGM257

News | Sio kila anayerap ni mwana hip hop, Jay Keyzo na Fizzo wote ni marapa feki, asema King Touch

Spread the love

Msanii wa muziki wa Buja fleva, King Touch amefunguka baada ya kusikiliza wimbo mpya wa msanii Jay Keyzo itwao Mugani kwa kusema kuwa sio kila msanii anayerap anauwakilisha muziki wa hip hop na kuendelea kwa kusema

”Msanii wa hip hop hapimwi kwa kurap bali kuna vitu kama mashairi na wewe kama unataka kuitwa mwana hip hop inakubidi unalenga maisha ya watu hapana ya mtu”.

King Touch anatarajia kuachia hivi karibuni wimbo wake mpya uitwao Wanatema Taarabu akimshirikisha Magic Soldier, aliiambia NGM257 kuwa wimbo wa Jay Keyzo ni nzuri ila kalenga wazi wazi mtu fulani ambae ndio jina la wimbo ”Mugani”.

”wimbo  Mugani uko wazi kabisa ndio maana naongeza tena kusema sio kila msanii anayerap atakuwa anaiwakilisha muziki wa hip hop, Big Fizzo na Jay Keyzo wote ni marapa feki.”

Msanii huyu kwasasa anazidi kufanya vizuri na wimbo wake,  Nishike Mkono  hii hapa

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com