News: Top 10 ya wasanii wa bujafleva wenye viewers na subscribers wengi YouTube na Vevo

Spread the love

Muziki wa Burundi unazidi kupiga hatua nzuri kwenye ubazi wa mitandao mana wasanii kwasasa wameanza kutambua umuhimu wa mitandao kwa kutangaza na kuuza kazi zao.

Na hii ndio orodha kamili ya wasanii wa bujafleva wenye viewers na subscribers wengi kwenye mtandao wa YouTube na Vevo ambapo Sat B anachukuwa na fasi ya kwanza uku akifuatiwa na Kidumu: 

1. Sat-B: Amejiunga kwenye mtandao wa YouTube 2014-09-24 na ana viewers zaidi ya Milioni moja na laki sita(1.653. 281), subscribers zaidi ya elfu kumi na moja (11.896) na amesha upload video 50 adi sasa.

2. Kidumu :Amejiunga YouTube 2015-04-17,ana viewers laki tisa(928.312),subscribers zaidi ya elfu tatu(3.853) na ame upload video 74 adi sasa.

3. Natacha Burundi : Amejiunga 2015-04-22, ana viewers zaidi ya laki nane(824. 458),subscribers zaidi ya elfu sita(6.995) na ame upload video 96 adi sasa

4. Big FizzoVevo : Amejiunga kwenye mtandao Vevo ambao unatumika na YouTube 2017-10-16,ana viewers zaidi ya laki tano(552.504),Subscribers zaidi ya elfu saba(7.377) na ame upload video 6 adi sasa

5. Aimé M : Msanii wa bujafleva ambae anaishi USA Amejiunga na YouTube 2007-01-10,ana viewers zaidi ya laki tatu elfu tisini(399.840),subscribers zaidi ya elfu moja(1.676) na ame upload video zaidi ya 50.

6. Gaga Blue: Amejiunga YouTube 2017-11-11, ana viewers zaidi ya laki tatu (390.205),subscribers zaidi ya elfu mbili(2,309) na ame upload video 8 adi sasa.

7. B-Face: Amejiunga YouTube 2016-09-19, ana viewers zaidi ya laki tatu(349.935), subscribers zaidi ya elfu nne(4.105) na ame upload video 40 adi sasa.

8. Mt NumberOneVevo: Anaishi USA, amejiunga kwenye mtandao wa Vevo ambao unatumika na YouTube 2015-10-27, ana viewers zaidi laki tatu(335.283),subscribers zaidi ya elfu moja(1.561) na ame upload video zaidi ya 20.

9. Lolilo: Amejiunga YouTube 2016-09-15,ana viewers zaidi ya laki tatu(308.086), subscribers zaidi ya elfu tatu (3.219) na ame upload video 46 adi sasa.

10. Masterland : Amejiunga na YouTube 2013-07-17, ana viewers zaidi ya laki tatu(307.664), subscribers zaidi ya elfu mbili(2.981) na ame upload video 28 adi sasa.

Related Post

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat