NGM257

News: Wajue wasani watano anaowakubali Sat-B kwenye Muziki wa Bujafleva.

Spread the love

Msanii anaekuja kwa kasi zaidi katika muziki wa buja fleva Sat-B amewataja wasanii watano katika muziki wa buja fleva ambao anawakubali zaidi kutokana na kazi zao na uwezo wao.

 

Sat-B akiwa kwenye kipindi cha VIP ACCESS kinachorushwa na mwanadada kutoka Kenya Anyiko Owoko aliwataja wasanii anaowakubali na wanaomfurahisha kutokana na kazi zao na uimbaji wao  kuwa ni pamoja na Kingorongoro, Big Fizzo, Miss Erica, Kidumu, Channy Queen pamoja na kundi la Best Life Music.

Mbali na hilo SatB alisema kuwa muziki wa Burundi hausikiki nje zaidi kwasababu wasanii walikosa connections, ila kwasasa yeye na team nzima ya management wake wakowanafanya makubwa ili muziki wake ufike mbali na wameshapiga hatuwa nzuri maana ngoma zake zinachezwa kwenye runinga za kimataifa kama Trace Tv, SoundCity, na kungine ko.

Tazama full interview hapa aliofanya na Anyiko Owoko kwenye VIP ACCESS:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com