NGM257

News: Wanda Boy wa TNB awatolea povu kubwa watangazaji flani ni baada ya Kingorongoro kujiondoa kwenye label yake

Spread the love

Baada ya msanii wa bujafleva Rappa Magic Soldier Kingorongoro kutangaza kujiondoa kwenye management ya Trust No Body ya Wanda Boy, C.E.O huyo wa TNB asema watangazaji flani ndio chanzo kikubwa cha ugomvi wake na Kingorongoro.

Kupitia kurasa zake za Facebook Wanda Boy asema akerua sanaaa na watangazaji wanao weka tumbo zao mbele wakidai kwamba wako wanasaidia muziki wa bujafleva adai kwamba ni mashabiki wa wasani flani.

Wanda Boy asema pia mtangazaji alieposti kuhusu mambo ya label ajuwe kwamba asilimia kubwa ya mikataba inayovunjika inatokana na watangazaji wa muziki bujafleva.

Soma povu la kwanza hapa la wanda Boy asema povu la pili linakuja:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com