NGM257

News: Wind Divin na Marembo watangaza kuiamsha bujafleva ambayo kwasasa ipo usingizini

Spread the love

Nchini Burundi wasanii kibao wamejitosa kwenye game la muziki huku wengine wakipania kuwa wasanii siku zijazo ili mradi kufikia malengo yao na labda kuleta mageuzi kwenye industry ya muziki Burundi.

Sasa staa wa muziki wa bujafleva mwenye makazi yake chini umarekani USA Wind Divin, anaefahamika kupitia muziki mzuri wenye maadhi ya mapenzi ameiambia NGM257 kuwa, wasanii wa Burundi muziki wao umelala na hauna ubunifu kama muziki mwingine barani Afrika sasa wakae mkao wakula maana ninakuja na kibao kipya cha kuwaamsha na kuamsha industry ya muziki wa +257.”Alisema Wind Divin.

Msanii huyo kwasasa anatamba na kibao Vanilla ametangaza kuliamsha dude na ngoma yake mpya Romantic atakayo shirikiana na msanii Marembo aliekubalika zaidi kupitia kibao chake Mfura ya Mama na ngoma hiyo inasemekana itaachiwa na video.

Itazame hapa Vanilla yake Wind Divin:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com