NGM257

News | Young John adai wimbo wake Feelings unaweza kuishusha Best Life Music

Spread the love

Msanii wa muziki ambaye anaanza kufanya vizuri kwenye soko la muziki la Buja Fleva, Young John ambaye alianza kufahamika kupitia kibao chake “Good vibes” ameibuka na kudai wimbo wake mpya uliyoachiwa hivi karibuni unaobeba jina la Feelings ni wimbo muzuri hata video yake pia.

Katika mahojiano aliyoyafanya na waandishi wa habari baada ya kuachia video yake mpya, Young John alidai kuwa anategemea kuwashusha wasanii wengi wakubwa kama Big Fizzo na kundi nzima ya Best Life Music kutoka kwenye chati na kuongoza yeye hivyo watu wategemee matokeo hayo.

Video ya wimbo ambao Young John amesisitiza kuwa ni wimbo mzuri na wa kipekee ni huu hapa :

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com